Mambo 5 muhimu kuhusu mradi wa kiwanda cha mafuta cha Dangote nchini Kenya - BBC News Swahili
Kiwanda cha kusafisha mafuta kinachotarajiwa kujengwa Lamu kina thamani ya takriban dola bilioni 16, na kinatajwa kuwa miongoni mwa miradi mikubwa zaidi ya miundombinu kuwahi kutekelezwa nchini Kenya tangu ilipopata uhuru.
BBC News Swahili5 个来源阅读 1 分钟归档于2026年9月30日
