Familia za waliouawa Saudi Arabia zahaha kupata miili ya ndugu zao kuzika - BBC News Swahili
Kwa mujibu wa familia husika, raia hao watano wa Ethiopia walionyongwa tarehe 23 Juni katika gereza la Khamis Mushait, katika Mkoa wa Asir kusini mwa Saudi Arabia, bila kupewa taarifa ya awali kuhusu utekelezaji wa hukumu zao.
BBC News Swahili1 source1 min readFiled September 19, 2026
