Je, Uhai Duniani Uliletwa na Viumbe wa Kigeni? - BBC News Swahili
Mwezi Disemba mwaka wa 2020, chombo cha anga cha Hayabusa2 kutoka Shirika la Japani la Utafiti na Maendeleo ya Anga (JAXA) kilirejea duniani kikiwa na takribani gramu 5 za sampuli kilichokusanya kutoka kwenye asteroidi iitwayo Ryugu.
BBC News Swahili1 source1 min readFiled October 1, 2026
