Je, Netanyahu ataivamia tena Iran kabla ya uchaguzi wa Israel? - BBC News Swahili
Septemba 3, katika mkutano na makamanda wa jeshi, Benjamin Netanyahu alisema kuipindua serikali ya Iran bado ni "dhamira kuu" ya nchi yake na ni lengo linalowezeka kufikiwa.
BBC News Swahili4 sources1 min readFiled September 21, 2026
